Lyrics

Kuelekea 16 bora kombe la dunia baadhi ya timu tayari zimekwisha fudhu awamu hiyo kama vile timu ya Ufaransa pamoja na Australia katika kundi D.

Katika kundi hilo Ufaransa wamemaliza kama vinara baada ya kufanikiwa kufunga mechi mbili walizocheza na Denmark pamoja na Australia lakini wakapoteza mchezo mmoja waliocheza na Tunisia siku ya Jumatano.

Nafasi ya pili imechukuliwa na Australia ambao wao pia wamemaliza na jumla ya alama 6 nyuma ya Ufaransa kwa tofauti ya magoli. Australia nao pia siku ya Jumatano waliweza kuitetea nafasi yao baada ya kumfunga Denmark bao moja pamoja na Tunisia.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up