Lyrics

"Nyota wa muziki kutokea nchini Tanzania Whozu mwaka huu 2022 ameachia ngoma yake ya 'Sijui Nipoje' ambayo ni ngoma ya pili kuitoa tangu kuanza kwa mwaka 2022 baada ya ile ya Ding dong aliyoiachia mwezi Aprili.

Whozu ambaye yuko chini ya Too much money, katika ngoma hii ameelezea tabia ambazo huzifanya lakini kwake yeye pia hushangazwa na tabia hizo. Kupenda ni moja ya tabia zake lakini pia kutengana na aliyempenda ni kawaida baada ya kumchoka na yeye huwa ndiyo sababu na kueleza zaidi ya kuwa hajali.

Sijui Nipoje imemvalisha Whozu uhusika wa kutojali mambo anayoyafanya ingawa na yeye humuwia vigumu kuelewa mambo hayo muda anapojaribu kuyafikiri.
View more

More songs by Download Best Latest Song Reviews/Analysis - Mdundo Podcast

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up