Lyrics

"WIkiendi inaenda kuanza vizuri kwa mashabiki wa soka pale ambapo Chelsea wakiwa katika uwanja wa Stanford Bridge wanawakaribisha Manchester United Katika mzunguko wa 13 ligi kuu Uingereza Octoba 22.

Chelsea wakiwa nafasi ya nne wamepishana alama moja pekee na United wao wakiwa nafasi ya Tano na alama 23. Vigongo hawa wa darajani katika mechi tano za hapo awali kwa msimu huu ni mechi nne wameshisha na mechi moja wametoa sare sawa na mashetani wekundu ambao nao wameweza kushinda mechi nne na kutoa sare mechi moja.

Chelsea walishindwa kung’ara katika mechi yao dhidi ya Brentford baada ya kukubali sare ya bila kufungana na hii ni mechi ya kwanza kwa Graham Potter kutoa sare tangua ajiunge na Chelsea. Mpaka sasa majeruhi wa Chelsea ni pamoja na Wasley Fofana (goti), N’golo Kante (misuli ya paja),Reece James (kifundo cha mguu) pamoja na Conar Gallagher mwenye shida ya tumbo na unatarajiwa kuingia uwanjani muda wowote.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up