Lyrics

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ureno pamoja na Liverpool ya Uingereza, Diogo Jota amekata shauri na kuamua kuongeza mkataba na Majogoo hao wa Londoni Liverpool.

Jota mwenye miaka 25 alijiunga na Liverpool katika msimu wa mwaka 2020-2021 Akitokea Wolverhampton Wanderers kwa usajili wa jumla ya Paundi milioni 45.

Sasa baada ya kudumu Liverpool kwa jumla ya misimu miwili mshambuliaji huyo ameongeza mkataka na timu hiyo ambao ni wa muda mrefu utakaodumu mpaka msimu wa mwaka 2027
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up