Lyrics

"Mara baada ya mechi ya Aston Villa dhidi ya Burnley kuahirishwa masaa machache kabla ya mechi hiyo mnamo mwezi wa 12 baada ya taarifa ya kuzidi kwa Visa vya Uviko-19 katika kikosi Cha Aston Villa Sasa basi mechi hiyo itaenda kuchezwa Alhamis hii ili kukamilisha mzunguko wa 18 katika Ligi ya EPL katika uwanja wa Villa Park.

Katika mechi hii Burnley wanahitaji matokeo ya uhakika kwa maana ya alama 3 wakiwa alama moja nyuma ya Leeds United ambapo kwa utofauti huo Burnley wanauwezekano wa kushushwa daraja Ila wakishinda kiporo hiki na mechi moja iliyobaki Basi kunauwezekano wa kubaki Ligi kuu EPL.

Kwa mujibu wa kocha wa Aston Villa Steven Gerald ametoa taarif ya kuwa mlinda mlango wao Emiliano Martinez amepata majeraha Jumatano na hatoweza kushiriki mechi zilizobaki wakati akifanya mazoezi.Majeruhi wengine katika kikosi Cha Aston Villa ni pamoja na Ezri Konsa, Kortney Hause, Leon Balley bado ni majeruhi.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up