Lyrics

"Liverpool wanaenda kukipiga dhidi ya Southampton wakiwa na Hari ya ajabu baada ya kushinda ubingwa wa FA Cup dhidi ya Chelsea na pia Katika mzunguko huo wa 37 unaochezwa jioni ya Leo katika uwanja wa Saint Mary's Stadium Liverpool wanaweza kuwa alama moja nyuma ya Manchester City Kama watashinda katika mchezo huo kuelekea mwishoni kabisa mwa Ligi.

Katika mechi hii Mohamed Sala pamoja na Virgil Van Dijk wanahatihati za kukosa mchezo huo baada ya kupata majeraha katika Mechi yao dhidi ya Chelsea na pia Farbinho anauwezekano wa kuendelea kukaa benchi pia lkutokana na majeraha na hii inamfanya Jürgen Klopp kupata mashaka haswa ikiwa ni bado muda mchache tu wa fainali za UEFA CHAMPIONS LEAGUE kuchezwa Katika jiji la Paris.

Kwa wao Southampton pia wanamajeruhi kadhaa na majeruhi hao ni Fraser Forster ambaye yeye amepata matatizo ya mgongo na kurudi kwake uwanjani ni muda wowote kuanzia Sasa, Valentino Livramento aliyepata shida katika maungio ya mguu pamoja na Stuart Armstrong aliyejeruhiwa katika kifundo Cha mguu na muda wowote anaweza kurejea uwanjani .
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up