Lyrics

"Usiku wa Jana wa Mabingwa wa Ulaya katika nusu fainali umekamilika katika mzunguko wake wa pili kwa Real Madrid kushinda na kukata tiketi ya kwenda fainali katika jiji la Paris baada ya kumfunga Manchester City kwa tofauti ya magoli 6-5.

Carlo Ancelotti kocha wa Madrid baada ya mechi ya Madrid na Manchester City kuisha aliongea na vyombo vya habari na kusema ""Hakuna aliyedhani Madrid ingefika fainali 2021-2022 lakini tuko Hapo"".Hii iliwanyima matumaini mashabiki wengi wa Madrid baada ya kuambulia magoli ya mapema katika mzunguko wao wa kwanza licha ya kujitahidi na kurudisha baadhi ya magoli.

Katika mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa nyumbani wa Real Madrid wa Santiago Bernabeu, City tayari walikuwa na mtaji wa bao moja mbele ya Los Blanco baada ya kuongoza katika mechi waliyocheza Etihad stadium katika mzunguko wa kwanza kwa mechi kuisha kwa jumla ya mabao 4-3.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up