Lyrics

"UEFA conference league inaendelea Tena ambapo Leicester City wakiwa nyumbani wanawakaribisha vijana wa Jose Mourinho katika uwanja wa King Power Stadium katika mzunguko wa kwanza wa nusu fainali hizo Alhamisi hii.

Fox ambao wako nafasi ya 10 Premier League, wanauwezo wa kubaki Uefa Conference league Kama watabeba kombe Hilo kwani kwa nafasi aliyopo Premier League haiwaweki katika hatua nzuri ya kufuzu mashindano makubwa ya Ulaya.

Leicester City katika mechi zao za hivi karibuni wameshindwa kuonesha makali yao kwa wamefungwa na Newcastle na kulazimishwa sare katika mechi mbili ya Aston Villa pamoja na ile ya Everton.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up