Lyrics

"Mara baada ya kudumu katika misimu nane ya Bundesliga Sasa tetesi zilizopo mitandaoni zinasema kuwa mshambuliaji Robert Lewandowski straika Makini kabisa tokea Bayern Munich ya Ujerumani anauwezekano wa kuhamia La liga huko Uhispania.

Lewandowski mwenye umri wa miaka 33 kwa Sasa anaripotiwa kutaka kuingia mkataba na Barcelona ambao wameonesha Nia ya dhabiti kabisa katika kusaka saini ya straika huyo ambapo Lewandowski inasemekana amekuwa na shauku kubwa ya kujiunga na Barcelona au Real Madrid katika maisha yake ya soka.

Akiwa ni mchezaji muhimu sana kwa Bayern ambapo tangu ajiunge na Timu hiyo kutokea Borussia Dortmund mwaka 2014 mpaka sasa Bayern Munich ndio mabingwa wa Ligi hiyo ya Ujerumani huku akiwa ameifanikisha timu hiyo kupata UEFA Champions , UEFA Super Cup, FIFA Club World Cup pamoja na German Supercup.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up