Lyrics

Kote pembe za dunia watu wanalia tena wengine wanaumia kwenye habari za runinga watu wanalia corona corona umetoka wapi corona corona unataka nn corona janga hatari maradhi makali ajali ugonjwa una Tiba hivi nani tabibu ugonjwa imeshinda hadi ughaibuni hadi China sayansi imechina hadi uku Kenya ugonjwa imeshinda wachina sayansi imechina ona Kenya tunalia eee corona corona umetoka wapi corona corona unataka nn corona corona umetoka wapi corona corona unataka nn ugonjwa hatari huchagui kijana balahe bikizee wala hata babu viongozi watangaza tuache tengamana virusi nje vyatapatapa wengi machozi yadondoka ona sasa wengi twasusa osha mikono tumia sanitaiza funika pua oooh zuia maradh corona corona umetoka wapi corona corona u nataka nn corona corona umetoka wapi corona corona unataka nn
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up