Lyrics

Msupa wangu anataka Masheesha, na kwa mfuko pesa zangu zimeisha
na yule waiter ananitisha ati mabouncer atawaita
na uyu dem bado ananitisha, nani nashindwa sasa vile nitazusha
tulipatana juzi instagram nami sitaki kuchoma picha

View more
Get Mdundo android app

Leave your comment