Sauti Sol - Malikia free MP3 download | Mdundo.com

Lyrics

wengi wao wamenyosha mikono wataka upokezi toka kwako
na hata wenye magari ya kifahari wajua kwako wewe hawatoshi
usinilenge, usinipeleke peleke huku na kule
uje unipende uje na hata hao mapacha unizalie

View more

Discover more artists

Leave your comment