TANZANIA: Trey Songz amzungumzia Vanessa

 

 

Trey Songz amefunguka kuhusu kufanya kazi na Vanessa Mdee wakati akijibu swali la shabiki. Wakati akijibu swali hilo muimbaji huyo wa Marekani amesema wametengeneza wimbo mzuri pamoja.

“Vanessa is great, we got a great song together, has a great chemistry, she loves to laugh and joke even when we was performing having a good time,” alisema. Kuna uwezekano mkubwa Vanessa na Trey Songz wakaka kutengeneza wimbo wa pamoja nje ya Coke Studio

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment