TANZANIA: Ben pol na Snura hadharani…

 

 

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ben Pol pamoja na msanii wa mduara Snura Mushi wameonekana wakipeana mahaba motomoto hadharani katika tamasha la Fiesta lililofanyika mkoani Dodoma.

Unaweza kutazama hapa video hiyo ya tamasha ikimuonyesha Snura pamoja na Ben Pol:

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment

Other news