TANZANIA: Zari atupa ‘Cheche’ tena…

 

 

 

Zarina Hassan atupa cheche nyengine. Awamu hii ni kwa mwanamke ‘fumbo’ ambaye anadai aliacha heleni zake katika chumba chake – hajasema ni kipi lakini ni wazi ni chumba cha Diamond, Madale kwakuwa yupo mjini.

 

.

Posts hizo za Zari zinaendelea kuziongeza nguvu tetesi za muda mrefu za usaliti katika uhusiano wao na huenda ameamua kuzoea na kuamua kupigania tu nafasi yake. Ujumbe wake una mafumbo na madongo mengi lakini ni wazi kuwa amani itakuwa imechafuka kidogo kwa couple hiyo yenye nguvu Afrika Mashariki.

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment

Other news