TANZANIA: Nachelewa kutoa ngoma sababu nataka ngoma iwe nzuri na bora- Baraka Da Prince

 

Moyo Mashine umekuwa na mafanikio makubwa kwa Ben Pol. Yeye pia amewahi kukiri hilo, na ndio maana anasema walau kila wikiendi kuanzia mwezi huu hadi December, yuko ‘booked’ kwaajili ya show.

 “Nina shows mpaka mwezi wa 12 tarehe 10 ndio show ya mwisho karibia wikiendi zote,” Ben alimuambia mtangazaji wa Jembe FM, JJ.

Amedai kuwa na ratiba hiyo ngumu kumemfanya akose muda mwingi wa kuingia studio kurekodi. Hata hivyo amedai kuwa ana collabo na msanii wa Nigeria, Chidinma, nyingine na msanii wa Ghana, Mr Eazy pamoja na ile aliyofanya na wasanii wa wa Afrika Kusini.

Kwakuwa Ben Pol anaamini kuwa Moyo Mashine inafanya vizuri bado, amedai hafikirii kuachia wimbo mpya hivi karibuni.

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

Leave your comment

Other news