TANZANIA: Diamond atoa verse, mashabiki wamfurahia

 

 

Diamond Platnumz amejiongezea aka zingine mpya, Jini na Vampire. Jumatatu hii aliachia kipande cha verse kwenye hit single ya Remy Ma na Fat Joe ‘All The Way Up’ kilichoyakuna masikio ya mashabiki wake. Sikiliza hapo chini:

 

 

Mashabiki walifurahishwa:

 

 

Leave your comment

Other news