TANZANIA: Kundi la The Industry waja na app ya “TIMA”

 

 

 

Muziki wa Tanzania unazidi kukua siku hadi siku, kwani wasanii wamejaribu kuwa wabunifu ili kuwafanya mashabiki wao wazidi kuwa karibu nao..

 

Kundi la The Insdutry linaloundwa na Navy Kenzo pamoja na Rosa ree, Seline pamoja na Wildad wameamua kuja na app yao inayojumuisha shughuli zao.. Katika unaweza kujionea historia ya kundi la The Industry, picha, nyimbo pamoja na kufahamu msanii mmoja mmoja anayepatikana katika kundi hilo.. Hongera The Industry kwa kuwa wabunifu..

 

 

 

 

 

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment

Other news