TANZANIA: Baraka Da Prince kuachia "Nisamehe" hivi karibuni

Wimbo wa Barakah Da Prince na Alikiba ‘Nisamehe’ utaachiwa wiki hii.

Video na wimbo vyote vitatoka pamoja, kwa mujibu wa Barakah. “Video itatoka kwenye exclusive MTV Base kabla ya kituo chochote,” Barakah alimweleza mtangazaji wa Jembe FM, JJ.

Hivi karibuni Alikiba pia alishoot video yake mwenyewe na ile aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz nchini Afrika Kusini.

Leave your comment

Other news