TANZANIA: Vanessa Mdee ajumuishwa kwenye orodha ya jarida la Essence la wanawake 15 Afrika

 

 

 

Jarida maarufu la Marekani, Essence limetoa orodha ya wanawake 15 wenye ushawishi  zaidi mtandaoni. Ni Vanessa Mdee peke yake ndiye aliyeingia kwenye orodha hiyo kutoka Tanzania.

“The first MTV VJ out of Tanzania, Vanessa Mdee, also known as Vee Money, is one of the most famous artists out of East Africa. Naturally cheeky with an edgy sense of style, the East African beauty can be found hosting gigs or gracing stages all over the continent,” wameandika.

 

Wengine ni pamoja na:

 

Genevieve Nnaji – Nigeria

 

 Pearl Thusi – Afrika Kusini

 

Yemi Alade – Nigeria

 

 Maame Adjei – Ghana

 

 Saran Kaba Jones – Liberia

 

 Tiwa Savage – Nigeria

 

 Lupita Nyong’o – Kenya

 

 Yvonne Nelson – Ghana

 

 

 Bonang Matheba – Afrika Kusini

 

 Linda Ikeji – Nigeria

 

 

Leave your comment