TANZANIA: Diamond na Zari watarajia mtoto mwingine

 

Familia ya Diamond Platnumz inatarajia kupata mdogo wake Tiffa.. Hayo yametololewa na familia hiyo mara baada ya kupost kwenye mtandao wa snapchat .... na kuandika " This Kiss goes to my unborn son! " huku zari akionekana na Tumbo kubwa hii inadhihirisha kuwa soon familia hiyo itapata mtoto mwingine.

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment