TANZANIA: Mwendokasi Festival kufanyika Julai hii.. Ikiwa na wasanii lukuki

 

Tarehe 30 Mwisho wa mwezi huu wa saba Tanzania kushuhudia mapinduzi ya kiburudani. Tamasha Kubwa la MWENDOKASI FESTIVAL linatarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Postal Kijitonyama, Wasanii Wakubwa Mbali mbali wa Bongo Flava watatoa burudani kali mbele ya maelfu ya wakazi wa Dar es salaam , Baadhi ya wasanii ambao watakuwepo ni

-Navy Kenzo

-Ally Kiba, 

-Christain ella

-Roma,

-ManiFongo

-Snura,

-Gnako,

-Isha Mashauzi,

-SautiSol,

-Mr Blue,

-Nuh Mziwanda,

-Barnaba

-Adamu Mchumvu

-Quick Rocka

-Juma Nature

-Nay wa Mitego

-Rucky Beby

-Dj D Ommy na wengine

Katika tamasha hilo patakuwa na sehemu ya kawaida ambapo kiingilio kitakuwa ni 10,000/= kwa Mtu mmoja,utakuwa na sehemu maalumu ya VIP ambapo Kiingilio kitakuwa 100,000/= kwa watu wawili. Pia Kutakuwa na Sehemu maalumu kwa ajili ya VVIP ambapo Kiingilio ni 500,000/= Kwa watu wanne

Tickets zitaanza kuuzwa soon katika vituo mbali mbali ambapo tutawatajia muda si mrefu... Usikose Mtu Wangu ...Ni pale Viwanja vya Posta Sayansi Kuanzia Saa nane mpaka Kuchweeee

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment