TANZANIA: Jux afunguka juu yake na Jackie Cliff

 

 

 

Muimbaji wa muziki wa R&B, Jux amefunguka juu ya mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake Jackie Cliff.

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Hatua Tatu cha Times FM kuwa yeye bado kijana mdogo ndiyo maana ameingia kwenye mahusiano mengine.

“Ni kweli kapata matatizo, lakini mimi nimesha move on nipo kwenye uhusiano na mtu mwingine. Mimi ni kijana mdogo acha tu niendelee na maisha yangu mengine,” amesema Jux.

Kwa sasa Jux ameachia wimbo wake mpya ‘Wivu’ ambao umeanza kufanya vizuri kwenye kwenye redio.

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

Leave your comment

Other news