TANZANIA: Diamond Platnumz ameteuliwa kuwa balozi wa vijana.

 

 

Diamond Platnumz ameteuliwa na ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania kuwa balozi wa vijana.

 

 

Tangazo hilo limetolewa na balozi wa nchi Uingereza nchini, Bi. Dianna Melrose. Ubalozi huo umekuja kupitia mradi wake wa Next Generation Tanzania.

“Superstar Diamond @diamondplatnumz is now #Tanzania Youth Ambassador @nextgentanzania @UKinTanzania @VelavanG,” ametweet Bi. Merlose kwenye picha akiwa na staa huyo.

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment