TANZANIA: Vanessa Mdee, Patoranking na Dj Maphorisa wanatarajia kuachia wimbo pamoja

 

Vanessa Mdee, Patoranking na Dj Maphorisa wanatarajia kuachia wimbo wao wa pamoja. Vee Money ambaye kwa sasa yupo Kenya, ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo utatoka hivi karibuni.

Alishare picha kwenye Instagram akiwa na mastaa hao na kuandika: Who ever said too many cooks spoil the broth, lied. Pori ✖ Ranking ✖Money.”

 

Chanzo: Bongo 5

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment