TANZANIA: Watu walinipigia waliposikia nina ugomvi na Shilole – Vanessa

 

Msanii wa bongo fleva nchini Vanessa Mdee ambaye anatamba na kibao chake cha ‘Niroge’ amefunguka na kusema kuwa taarifa zilipovuma kuwa anaugomvi na Shilole.

Msanii huyo ameyasema hayo wakati alipokuwa akihojiwa na Millard Ayo, mara baada ya kuulizwa kuwa wasanii wanaweza kufanya kazi zao bila kiki. Vanessa alisema kuwa, “Mimi sio mpenzi wa kiki, ijust do music. Mtu hajui hata gari gani naendesha gari gani.. kwahiyo ni jinsi industry ilivyo… vinategemeana. Kuna watu wanahitaji kiki kwasababu hawana Sanaa.”

“Kuna wasanii walinipigia waliposikia nina ugomvi na Shilole, kama Dayna, Barnaba, Chegge, Feza, Ruby, B.dozen walipigia na kutaka kujua kuna tatizo gani.”

Vanessa na shilole hawana ugomvi, katika shoo iliyofanyika siku ya tar 29 May billcanas ilidhibitisha yote.

 

Unaweza kutazama show hiyo hapa:

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

Leave your comment