TANZANIA: Lady Jay Dee azindua “Naamka Tena”

 

 

Show kubwa ya msanii Lady Jaydee iliyopewa jina la ‘Naamka Tena Concert’ iliyofanyika Ijumaa hii kwenye ukumbi wa Mlimani City imefana. Kwenye show hiyo Jaydee alitumbuiza pamoja na bendi yake. Mastaa waliohudhuria ni pamoja na Alikiba,Wema Sepetu,Rama Dee,Idris Sultan,Lamar, Lulu na wengi.

Tazama picha za show hiyo:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

Leave your comment

Other news