TANZANIA: Mr. Blue aaga ukapela

 

Msanii wa hip hop Mr Blue ambaye kwa jina halisia anaitwa Khery Sameer Rajab siku ya jana alifunga ndoa na mama watoto wake. Msanii huyo ameamua kuungana na msanii mwenzake Roma mkatoliki ambaye naye hivi karibuni alifunga ndoa mkoani Tanga ambako ndiko alikotokea.

Unaweza kutazama picha za harusi hiyo hapa chini:

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave your comment

Other news