TANZANIA: Mh Temba amuongelea Hascana na Jokate

Hitmaker wa Fundi Mh Temba ameiambia mtembezi.com kuwa ameamua kufanya video yake ya wimbo wa Fundi na muongozaji Hanscana kwasababu ni muongozaji anayechipukia kwa kasi huku akiwa na connections kubwa za nchi za nje, hivyo anaamini kuwa Hanscana ndiye muongozaji bora kwa sasa.

 

Hascana

 

Vilevile Mh. Temba amejibu swali lililoulizwa na wengi kuhusu sauti za kike zinazo sikika kwenye nyimbo hiyo na kueleza kuwa moja ya sauti katika nyimbo hiyo zimeingizwa na mrembo Jokate Mwegelo.Jokate Mwegelo Akizungumzia ukaribu wake na Jokate Mh. Temba amesema kuwa Jokate ni rafiki yake wa karibu ndio maana imekuwa rahisi kufanya kazi nae, hivyo mashabiki wake watarajie mengi kutoka kwake.

Jokate

 

 

Chanzo: Mtembezi

 

 

 

 

Leave your comment

Other news