TANZANIA: Vanessa na mavazi mafupi.

 

Msanii wa muziki wa miondoko ya bongo fleva ambae hivi karibuni katika mahojiano yake na kituo cha Eatv katika kipindi cha Friday Night Live kinachotangazwa na Sam Misago, Vanessa allisikika akisema kuwa yeye mavazi yake ni brand yake. Muimbaji huyo ambaye wiki iliyopita aliachia kibao chake kiitwacho ‘Niroge’, amekiambia kituo hiko kwamba anapenda mavazi mafupi ili kutangaza brand yake ili baadae impe dili la ubunifu wa mavazi.

“Ukweli ni huu, wasanii wengi for a long time in the past, wasanii wa kitanzania hawajajua kutangaza brand zao”, alisema Vanessa.

 

 

 

Aliongeza, “Mi brand yangu nataka ndani ya miaka miwili napigiwa simu na Balmain na Louis Vuitton, nataka designer wakubwa wa dunia wanitumie kutangaza bidhaa zao kwasababu wanaamini nina brand yangu kubwa na zinaendana, so nina malengo, and id am gonna offend anybody I’m sorry”.

 

 

Leave your comment