TANZANIA: Izzo business aja na ‘Usijiovadoze’.

 

Msanii wa miondoko ya rap Izzo Business, ametoa kibao kipya kiitwacho ‘Usijiovadoze’. Katika nyimbo hiyo amewashirikisha wasanii kama Barbana Classic pamoja na Sara kaisi ‘Shaa’. Nyimbo hiyo imeandalliwa na prodyuza Dupy.

Msanii huyo alishatoa nyimbo kama ‘Kidawa’, ‘Tumogele’, ‘Shem lake’, ‘Love me’ na nyinginezo nyingi.

Unaweza kusikiliza nyimbo hii hapa:

 

 

Leave your comment

Other news