TANZANIA: Gigy money afunguka baada ya Rich Mavoko kukana kutoka nae kimapenzi.

 

Baada ya video queen wa kibongo Gigy Money kudai kuwa aliwahi kutoka na msanii wa nyimbo za bongo fleva Rich Mavoko, na Rich kuja kukana kwamba hajawahi kuwa nae. Gigy money amemua kufunguka na kuweka hadharani ujumbe wa maandishi waliokuwa wakisiliana na Rich Mavoko.

Gigy alipost mzungumzo hayo  kupitia account yake ya Instagram na baadae kuzifuta. 

"mimi mwenyewe sikujui vilevile", aliandika Gigy

 

"Hahahahahahahahahahahaha, unajua Rich nitakudhalilisha..... mimi ni kimya tu lakini sio mpole hata kidogo. Unajikuta umenisahau bwege wewe" aliadika Gigy

"Banduuudgu kujichubua kwako ndo nikuogope wewe Richard weweee umeomba watu wanipigie nisikutie aibu sasa unaleta utoto sina ninachokipoteza, kumbuka I don't care" aliandika Gigy

Leave your comment