TANZANIA: Tazama video mpya yakwao Darassa na Rich Mavoko ‘Kama Utanipenda’

Msanii wa muziki aina ya rap, Darassa amekuletea video yake mpya ya wimbo wa ‘Kama utanipenda’ akiwa kamshirikisha Rich Mavoko. Video imetayarishwa na Hanscana.

Audio ya wimbo huo pia imetoka mwezi ulioisha yaani Januari, ni wimbo wenye beat nzuri uliofanywa na producer Mswaki. Na sasa wamekusogezea video karibu nawe kupata burudani zaidi.

Tazama video hiyo hapa chini;

 

Leave your comment

Other news