TANZANIA: Producer Cjamoker aachia video mpya ft Wakazi,P The Mc, One, Zaidi & Ibrah – Cjamoker

 

Producer wa muziki katika label ya Chimbo Inc, Cjamoker ameachia video mpya yenye jina lake ‘Cjamoker’. Katika wimbo huo amewakutanisha pamoja wasanii wa Hip hop  Illness mcees, Wakazi, P The Mc,One The Incredible, Zaid na muimbaji wa R&B Ibrah.

Video imefanyika kwenye Studio za Africa Nyumbani Studios na kuongozwa na Mecky Kalowa.

Tazama hapa chini;

 

Leave your comment