TANZANIA: Feza Kessy aachia video ya ‘Sanuka’ akiwa na Chege!

Mwanadada Feza Kessy, baada ya kutoa wimbo wake wa ‘Sanuka’ mwaka jana mwishoni akiwa ameshirikiana na msanii toka kundi la Wanaume Family, Chege Chigunda sasa ameakusogezea video mpya ya wimbo huo.

Feza Kessy pia aliwahi kushiriki shindano la Big Brother Africa, na kwa sasa anafanya muziki wa Bongo Fleva.

Video ya ‘Sanuka’ imeongozwa na Hascana na kufanyika hapahapa nchini Tanzania.

Tazama hapa video hiyo;

Leave your comment