TANZANIA – Muziki wa Bongo wazidi kushika kasi Trace TV

Kadri ya siku zinavozidi kwenda muziki wa Bongo Fleva unazidi kuvuka mipaka ya kimataifa. Kwa kawaida nyimbo za Kitanzania zilikuwa zikipigwa kwa nadra sana lakini kwa sasa ni kawaida unapoona video za kina Ali Kiba, Vanessa Mdee, Belle 9 na wengine wakipata airtime katika vituo hivyo.

Jumatatu ya wiki hii video yakwao Mkubwa na Wanawe iitwayo nafsi imetambulishwa kwenye kituo hicho.

Tazama video hiyo hapa;

Leave your comment