EXCLUSIVE (TANZANIA) – Download nyimbo mbili mpya toka mdundo zakwake Wakazi

 

 

 

 

 

 

 

Msanii wa Bongo Fleva Wakazi ameachia single mbili wiki hii, nyimbo ya kwanza inaitwa “Used to Give a F***” na nyingine inaitwa “Kanuni za Hela”.

‘Used to Give A F***’ imeandaliwa na producer Kalulete, wakati ‘Kanuni za Hela’ imeandaliwa na producer Paul Loops.

Download sasa kupitia mdundo bure kabisa.

Leave your comment