EXCLUSIVE (TANZANIA): Msami Baby Kufanya Ngoma Na Mkali Wa Nigeria, Tekno!

Msami Baby

Msami featuring Tekno? Habari nzuri zikufikie kwamba Msami Baby mkali wa kuimba na kudance ambaye aliibukia THT tayari ana collabo na Tekno kutoka Nigeria ambaye amekamata headlines sasahivi na mdundo wa ‘Duro‘.

Tekno 


Msami amesema mipango inayofatia sasahivi ni kujiandaa kuachia ngoma hiyo watu waisikie pamoja na video kama mambo yakienda sawa.

WATCH

https://www.youtube.com/watch?v=ZeCfhxyfg0M

SOURCE: Millardayo

MENGINE

 EXCLUSIVE (TANZANIA) – Nisingekuwa hapa nilipo bila Lollipop – Mo Music

Leave your comment