EXCLUSIVE (TANZANIA): Haya Ndiyo Anayo Ya Kusema Joh Makini Kuhusu Ushindi Wa Diamond

Diamond Platnumz ameshinda Tuzo ya Best Worldwide Act siku chache zilizopita nchini Italy, rapper Joh Makini kaupokea kwa furaha ushindi huo kwa sababu ushindi wake ni heshima kwa Africa pia.


Kingine ni kwamba Joh amesema amefurahi kwa sababu Diamond amekuwa akijituma sana kitu kinachosaidia hata wasanii wengine kufunguliwa milango ya mafanikio kupitia juhudi zake.

RELATED

 EXCLUSIVE (TANZANIA)- Nasibu Abdul angekuwa mume wangu wa maisha –Wema Sepetu

Leave your comment