TANZANIA: AY Afunga Ndoa na Mpenzi Wake

Msanii wa muziki Bongo, Ambwene Yesaya maarufu kama AY amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Remy.

Shughuli za kufunga ndoa hiyo zilifanyika katika hotel ya Golden Tulip iliyopo jijini Dar Es Salaam na kuhudhuriwa na mastaa mablimbali kama vile:- Lady Jaydee, Mwana FA, Salama Jabir, Profesa Jay (Joseph Haule), Fid Q na wengineo wengi.

Source: bongo5.com

Leave your comment

Other news