NEW VIDEO: Nandy X Aslay – Subalkheri Mpenzi

Baada ya Nandy na Aslay kufanya vizuri na kolabo yao ya wimbo 'Mahabuba’, hatimaye wawili hao Jumanne hii wameachia video ya kolabo yao mpya ya wimbo, Subalkheri Mpenzi. Video ya wimbo huo imeandaliwa na director, Hanscana.

https://www.youtube.com/watch?time_continue=2&v=yIZ9wFdMNl0

Source: bongo5.com

Leave your comment