Ijue Video ya Msanii wa Kike Africa Iliyotazamwa Zaidi

Africa kwa sasa ina orodha ndefu ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri na wenye mashabiki lukuki.

Moja ya wasanii hao ni Yemi Alade kutoka nchini Nigeria, kupita video ya wimbo wa Jonny iliyo na zaidi ya miaka mitatu, ndio video pekee kwa upande wa wasanii wa kike ikiwa na watazamaji (viewers) zaidi ya milioni 70 na comment zaidi ya 10,000 katika mtandao wa YouTube.

 

Source: bongo5.com

Leave your comment