TANZANIA: Lulu Diva Ndani Ya Kenya

 
 

Msanii wa muziki wa Bongo Flava Lulu Abbas a.k.a Lulu Diva the Queen of Bongo Flava, anafanya ziara ya siku 17 nchini Kenya (Nairobi na Mombasa) akiwa Chini ya Born To Shine PR.

Lulu Diva anaendelea kufanya Media Tour yake nchini kenya na mpaka sasa tayari amesha launch video yake mpya ya UTAMU, ndani ya Club Tribeka.

Lulu Diva pia anategemea kufanya interview siku ya Ijumaa (leo) hii katika TV Show ya Citizen TV "Ten Over Ten". Pamoja na hilo, msanii huyu mwenye mvuto wa kipekee anatarajia kusign deal na label kubwa nchini Kenya siku ya Jumamosi.

 
 

Leave your comment

Other news