KENYA: Rayvanny Amekutana na Jason Derulo

Mkali kutoka WCB Rayvanny ambaye anaiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za BET kwenye kipengele cha International  Viewer’s Choice Award Leo June 10 2017 kupitia Instagram yake amepost picha akiwa na mkali anayezichukua headline kwa sasa na mdundo wake wa Swalla, Jason Derulo.

Usisahau pia kumpigia kura Rayvanyy kwenye Tuzo za BET, tunaweza kuvote kwa @rayvanny kwenye @bet_intl kwa kucomment #hushtag ya #IpickRayvanny hadi kwenye page za @betawards @bet_africa …Tuendelee kuvote ili tuweze kufanikisha Tunzo kuja Nyumbani Ya #BETAwards2017 kama #ViewerschoicebestnewinternationalAct

Source: millardayo.com

Leave your comment

Other news