TANZANIA: Ben Pol Awashangaza Mashabiki Kwa Picha za Utata

Mshindi wa Tuzo za Mdundo 2016/17 , Benard Paul a.k.a Ben Pol ameshangaza mashabiki baada ya kupost picha iliyoleta utata kwa mshabiki wake.
 
Kupitia akaunti yake ya Instagram, msanii huyo alipost picha ikimuonyesha akiwa mtupu. Jambo hilo lilizua utata kwa mashabiki wake, japo picha hiyo inaonyesha kama kuwepo kwa ujio wake wa nyimbo mpya.
 
 
Haya baadhi maoni ya washabiki wa Ben Pol:
 
ujasirimariebenezer_  Ben umekutwa na nini Baba, mbona hauendani na haya?
 
cathbert_official Duuuh umefeli bro sikutegemea nlkuw nakuheshmu kwl
 
emmanuel_andeol_shayo Kaka mbona unazingua hvyo umeanza, lini haya, mambo bro
 
beckampemba una tulingishia broo haaa sio kiivyo . .

yasinta_cutegirl Eeh iyo kiki vepeee
 
 

Leave your comment

Other news