MDUNDO CHARTS: Darassa Aongoza Katika Charts za Mdundo Kwa Sasa

 
 

Msanii anayetamba na kibao cha 'Muziki' alichoshirikiana na Ben Pol, Darassa amezidi kupaa siku hadi siku akiwa anashikilia namba moja katika chati za Mdundo. Darasa alikuwa katika tasnia ya muziki kwa miaka mingi, ila kwa wimbo wa "Muziki" na "Weka Ngoma" ndizo zilizomfanya azidi kung'ara.

Mbali na hilo, hivi karibuni hitmaker huyo wa "Muziki" ameachia kibao chake kipya kabisa kiitwacho "Hasara Roho" ambapo ameitoa sambamba na video yake mara tu baada ya ziara yake nchini Kenya.

Mdundo inampa pongezi na kumtakia kila la kheri katika kila jambo katika kumalizia mwaka 2017.

 

Download Hasara Roho on Mdundo.

Leave your comment

Other news