Hawa Ndio Wasanii Kutoka Nigeria Waliopo Katika Album Mpya ya Wale

Rapper kutoka Marekani mwenye asili ya Nigeria, Wale ambaye anatarajia kutoa album yake mpya, Shine, amewashirikisha baadhi ya wasanii kutoka Afrika wakiwemo Davido, Wizkid na Olamide, wote toka Nigeria.

Hii itakuwa ni album yake ya tano Wale ambaye jina lake halisi ni Olubowale Victor Akintime na itatoka May 5. Wasanii wengine kutoka Marekani kwenye album hii ni pamoja na Chris Brown, Lil Wayne na Travis Scott.

Wale’s Shine Tracklist

1. “Thank God”
2. “Running Back” (Feat. Lil Wayne)
3. “Scarface Rozay Gotti”
4. “My Love” (Feat. Major Lazer, WizKid & Dua Lipa)
5. “Fashion Week” (Feat. G-Eazy)
6. “Colombia Heights” (Te Llamo) [Feat. J Balvin]
7. “CC White”
8. “Mathematics”
9. “Fish n Grits” (Feat. Travis Scott)
10. “Fine Girl” (Feat. Davido & Olamide)
11. “Heaven on Earth” (Feat. Chris Brown)
12. “My PYT”
13. “DNA”
14. “Smile” (feat. Phil Adé & Zyla Moon)

 

Source: bongo5.com

Leave your comment

Other news