TANZANIA: Tanzania Mpya Yamtoa Chozi Darassa

Rapper Darassa ameonekana kuumizwa kwa kile kinachoendelea hapa nchini kwa sasa.

Hitmaker huyo wa Muziki, ameandika ujumbe ambao umeonekana kuwaumiza na kuwatoa machozi wengi katika mtandao wa Instagram. Kupitia mtandao huo Darassa ameandika:

BABA MUNGU SHUKA WEWE UENDESHE NCHI YETU! BORA TUPOTEE SISI NI SAWA!!!! vip kuhusu watoto wadogo na wanawake!!!! Future ya nchi inaogopesha na huitaji macho kuona hili </div><div style=Get Mdundo android app

Leave your comment

Other news