Nicki Minaj Azidi Kusherehekea Mafanikio ya Albamu ‘Pink Friday’ ya 2010

Nicki Minaj anazidi kusherekea mafanikio ya albamu yake ya ‘Pink Friday’ iliyotoka mwaka 2010.

Albamu hiyo imefanikiwa kufikia mauzo ya asilimia 81 na kuipiku albamu yake ya mwisho ya The Pink Print ambayo ilitoka mwaka 2014. Katika kusherekea hilo mrembo huyo amewashukuru mashabiki wake na kuwaahidi kuwa albamu yake mpya itakuwa bora zaidi itakayowapa maisha marefu.

Kupitia mtandao wa Instagram Nicki, ameandika:

Look @ God. Man I can’t make this sh*t up. Just got the official word that in the last week, #ThePinkprint went up 79% in SALES & #PinkFriday (AN ALBUM I RELEASED IN 2010) went up 81% in SALES! Ok #Jesus I see u! #FunFact – #ThePinkprint holds the title as longest charting female rap album in the history of billboard. My fans are the absolute best. I love u guys so much. My new album will give you the most life you’ve ever received out of my catalogue.  thank you.

Source: bongo5.com

 

 

 

Leave your comment