TANZANIA: Ben Pol na Rayvanny Wasanii wa Kuangaliwa Zaidi Mwaka Huu - MTV Base Africa

Kituo cha runinga cha MTV Base kimewataja Ben Pol na Rayvanny kuwa ni wasanii wa kuangaliwa zaidi kwa mweaka huu.

Kituo hicho kimeweka picha za wasanii hao kwenye mtandao wao wa Instagram na kuandika, “#OnesToWatch2017.”

Wasanii wengine waliotajwa kwenye orodha hiyo ni pamoja na Apple Gule, Bhizer na Yung Swiss (wote kutoka Afrika Kusini), Ric Hassani, Lola Rae na Grey C (wote kutoka Nigeria).

Wengine ni Band Beca (Kenya), Lydia Jasmine (Uganda).

Source: bongo5.com

Leave your comment

Other news